Hits 86469 | 1 online
Wakuu wa Idara mbali mbali katika Wizara ya Katiba na Sheria wakiwa katika kikao cha utekelezaji Mpango kazi kwa kipindi cha Julai-Disemba 2019.
Wakuu wa Idara mbali mbali katika Wizara ya Katiba na Sheria wakiwa katika kikao cha utekelezaji Mpango kazi kwa kipindi cha Julai-Disemba 2019 kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar,ambapo Mwenyekiti wake alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani),[Picha na Ikulu.].