Hits 46830 | 2 online
Idara ya Msaada wa kisheria kwa Kushirikiana na taasisi ya PIRO imekusanya maoni ya wadau mbali mbali
Wizara ya Katiba na Sheria kupitia Idara ya Msaada wa kisheria kwa Kushirikiana na taasisi ya PIRO imekusanya maoni ya wadau mbali mbali wakiwemo Mahakama, Polisi, Chuo cha Mafunzo, Vyuo vya Elimu na Wizara ya Elimu, Watowaji wa huduma za Sheria, Wanasheria, Taasisi zisizo za Kiserikali za watowa Huduma za Msaada wa Kisheria na kuupitia mtaala na muongozo wa kufundishia Wasaidizi wa Sheria. Mkutano huo umefanyika Pemba katika Ukumbi wa Baraza la Mji Chake Chake