Hits 70221 | 2 online
SALAMU ZA EID EL FITRY
Wizara ya Katiba na Sheria Zanzibar inawapongeza Waislamu wote kwa kumaliza mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani. Na pia Wizara ya Katiba na Sheria Uongozi na Wafanyakazi wake wanawatakia kheri na baraka za sikukuu ya Eid el Fitr Wazanzibari wote.
Kumbuka kufuata maelekezo ya afya ili ujikinge wewe na familia yako kutokana na maambukizi ya virusi vya Corona. Eid Mubarak!