Hits 38515 | 1 online
Waziri wa Wizara ya Katiba na Sheria Mhe Khamis Juma Mwalim akitoa pongezi Ikulu Jijini Zanzibar kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein kwa kuwaongoza vyema katika utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Waziri wa Wizara ya Katiba na Sheria Mhe Khamis Juma Mwalim akitoa pongezi Ikulu Jijini Zanzibar kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein kwa kuwaongoza vyema katika utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambapo Wizara hiyo inajivunia kutekeleza kwa mafanikio makubwa Ibara ya 121 (d) na (e) kulia ni Katibu Kiongozi Ndg Abdulhamid Yahya Mzee na kushoto baada ya Mhe Waziri ni Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Mhe Said Hassan Said.