Hits 38537 | 1 online
Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria Ndg George Joseph Kazi akiwasilisha taarifa ya utekelezaji wa mpango kazi wa Mwaka 2019/2020 na mpango kazi wa mwaka 2020/2021.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria Ndg George Joseph Kazi akiwasilisha taarifa ya utekelezaji wa mpango kazi wa Mwaka 2019/2020 na mpango kazi wa mwaka 2020/2021 Ikulu jijini Zanzibar pembeni ni mkurugenzi Mipango Sera na Utafiti Bi Daima M Mkalimoto.