Hits 70262 | 3 online
Jaji wa Mahakama Kuu Zanzibar Mhe George J. Kazi akipokea zawadi maalum kutoka Afisa Sheria Bi Amina Mzee kwa niaba ya Wafanyakazi wa Wizara ya Katiba na Sheria Zanzibar ikiwa ni pongezi maalum na kumtakia majukumu mema kufuatia uteuzi wa aliekuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria ambae kwa sasa ni Jaji wa Mahakama Kuu Zanzibar . Hafla hio imefanyika katika viwanja vya jengo la Sheria House lililoko Mazizini