Hits 70192 | 3 online
Wawezeshaji hao wamewaomba watoaji wa msaada wa kisheria kuipa mashirikiano ya kutosha Idara ili kuweza kufikia malengo pia kuzisoma na kuzielewa vizuri kanuni kwa lengo la kufikisha elimu kwa walengwa ambao ni wataka huduma wa msaada wa kisheria.
Wawezeshaji hao wamewaomba watoaji wa msaada wa kisheria kuipa mashirikiano ya kutosha Idara ili kuweza kufikia malengo pia kuzisoma na kuzielewa vizuri kanuni kwa lengo la kufikisha elimu kwa walengwa ambao ni wataka huduma wa msaada wa kisheria
Wakitoa michango yao washiriki wa mafunzo hayo wameomba kuwepo kwa mikutano mara mbili kwa mwaka kwa wasaidizi wote wa msaada wa kisheria, aidha wameomba kupatiwa vitambulisho maalum ili watakapokwenda kwa wananchi waweze kuwafahamu kiraisi pamoja na kuwatumia watoa huduma za msaada wa kisheria kwa wasomi wa vyuo vikuu vilivyopo nchini.