Hits 38514 | 1 online
Afisa Mdhamini Wizara ya Katiba na Sheria Pemba Bw Mattar Zahor Masoud, akifungua mafunzo ya Kanuni ya Utumishi wa Umma kwa watendaji wa Wizara hio yaliyofanyika kwenye ofisi za Serikali kwenye ukumbi wa mkutano Gombani Chakechake Pemba.