Hits 2034 | 3 online
Waziri wa Katiba wa Sheria Zanzibar Mhe Khamis Juma Mwalim akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria Tanzania Bara Bw Amon Mpanju wakati alipofanya ziara ya kikazi Wizarani hapo katika Ofisi zilizopo kwenye mji wa Serikali Mtumba Jijini Dodoma