Hits 40091 | 1 online
Jaji Mkuu Zanzibar Mhe Omar Othman Makungu akitoa taarifa kuhusu Mkutano Mkuu wa Majaji wa Afrika Mashariki
Zanzibar kuwa mwenyeji wa Mkutano wa Majaji wa Afrika Mashariki Octoba 21 hadi 25 Mwaka 2019 . Jumla ya nchi sita wanachama zitashiriki katika mkutano huo ambao utafunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe Dkt Ali Mohamed Shein katika Hoteli ya Madinat Al Bahri iliyopo Mbweni.