Hits 86473 | 2 online
Waziri wa Katiba na Sheria Zanzibar Mhe Khamis Juma Mwalim ameufungua Rasmi Mkutano wa Tano wa Mwaka wa Wadau wa ZSSF.
Waziri wa Katiba na Sheria Zanzibar Mhe Khamis Juma Mwalim ameufungua Rasmi Mkutano wa Tano wa Mwaka wa Wadau wa ZSSF na Kutoa Zawadi kwa Wachangiaji Bora wa Mfuko Mkuu wa ZVSSS na Wafanyakazi bora wa ZSSF Katika Ukumbi wa Uhuru Kariakoo Zanzibar.