Hits 70263 | 3 online
Waziri wa Katiba na Sheria Khamis Juma Maalim (kushoto) alipokuwa akiwasilisha taarifa ya utekelezaji Mpango kazi kwa kipindi cha Julai-Disemba 2019.
Waziri wa Katiba na Sheria Khamis Juma Mwalim (kushoto) alipokuwa akiwasilisha taarifa ya utekelezaji Mpango kazi kwa kipindi cha Julai-Disemba 2019 katika kikao cha Uongozi wa Wizara hiyo kilichofanyika leo Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar,chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) na Katibu Mkuu wa Baraza la Mapinduzi pia Katibu Mkuu Kiongozi Dkt.Abduhamid Yahya Mzee (kulia),[Picha na Ikulu.]