Hits 70236 | 2 online
Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria Ndg George Joseph Kazi (kushoto) alipokuwa akisoma taarifa ya Utekelezaji wa Mapango kazi kwa kipindi cha Julai-Disemba 2019.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria Ndg George Joseph Kazi (kushoto) alipokuwa akisoma taarifa ya Utekelezaji wa Mapango kazi kwa kipindi cha Julai-Disemba 2019 katika mkutano wa Wizara hiyo uliofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar,chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) na Mkurugenzi Mipango, Sera na Utafiti Bi Daima M.Mkalimoto, (kulia),[Picha na Ikulu].