Hits 40095 | 1 online
Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar Nd,Said Hassan Said (kushoto) alipokuwa akichangia katika kikao cha Utekelezaji wa Mapango kazi kwa robo mbili Julai-Disemba 2019.
Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar Nd,Said Hassan Said (kushoto) alipokuwa akichangia katika kikao cha Utekelezaji wa Mapango kazi kwa robo mbili Julai-Disemba 2019 katika mkutano wa Wizara ya Katiba na Sheria kiliofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar,chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani),akiwepo na Waziri wa Katiba na Sheria Nd,Khamis Juma Maalim (kulia),[Picha na Ikulu]