Hits 70242 | 2 online
Maafisa mbali mbali wa Idara zilizo katika Wizara ya Katiba na Sheria wakiwa katika kikao cha utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha Julai-Disemba 2019.
Maafisa mbali mbali wa Idara zilizo katika Wizara ya Katiba na Sheria wakiwa katika kikao cha utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha Julai-Disemba 2019 kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar,ambapo Mwenyekiti wake alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani),[Picha na Ikulu].