Head image
Govt. Logo

Hits 34831 |  1 online

     

PICHA YA PAMOJA
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba Sheria, Utumishi na Utawala Bora Zanzibar Mhe Haroun Ali Suleiman na aliekuwa Waziri wa Katiba na Sheria Zanzibar Mhe Khamis Juma Mwalim katika picha ya wakiwa na watendaji wakuu wa Taasisi zilizomo katika ORKSUUB pamoja na baadhi ya wafanyakazi

MAKABIDHIANO YA OFISI
WN(OR)KSUUB Mhe Haroun Ali Suleiman amepokea vitabu vya Sheria mbali mbali zinazoongoza utendaji wa taasisi za sekta ya sheria kwa aliyekuwa Waziri wa Katiba na Sheria Zanzibar Mhe Khamis Juma Mwalim wakati wa makabidhiano ya Ofisi

MAKABIDHIANO YA OFISI
Aliekuwa Waziri wa Katiba na Sheria Zanzibar Mhe Khamis Juma Mwalim amemkabidhi zana za kufanyia kazi Mhe Haroun Ali Suleiman ikiwemo hotuba ya bajeti 2020-2021 pamoja na mpango kazi wa Wizara na taasisi zilizo chini yake

MAKABIDHIANO YA OFISI
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba Sheria, Utumishi na Utawala Bora Zanzibar Mhe Haroun Ali Suleiman akisalimiana na Mwanasheria Mkuu Dkt Mwinyi Talib Haji pamoja na viongozi wengine wa ORKSUUB kwenye Jengo la SHERIA HOUSE Mazizini Zanzibar

MAKABIDHIANO YA OFISI
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba Sheria, Utumishi na Utawala Bora Zanzibar Mhe Haroun Ali Suleiman akisalimiana na aliekuwa Waziri wa Katiba na Sheria Zanzibar Mhe Khamis Juma Mwalimu kwenye ukumbi wa ORKSUUB

Hongera Mhe Haroun Ali Suleiman.
Uongozi na wafanyakazi wa Wizara ya Nchi (OR) Katiba, Sheria, Utumishi na Utawala Bora wanatoa salamu za pongezi kwa Mhe Haroun Ali Suleiman kwa kuteuliwa kuwa Waziri wa Nchi (OR) Katiba, Sheria, Utumishi na Utawala Bora.

HONGERA DKT. MWINYI
Wizara ya Katiba na Sheria Zanzibar inaungana na Wazanzibari wote kumpongeza Dkt. Hussein Ali Mwinyi kwa kuchaguliwa kua Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi awamu ya nane.

HONGERA DKT. JOHN POMBE MAGUFULI
Wizara ya Katiba na Sheria Zanzibar inaungana na Watanzania wote kumpongeza Dkt John Pombe Magufuli kwa kuchaguliwa kuwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania. Mungu ibariki Tanzania.

Waziri wa Katiba na Sheria
Waziri wa Katiba na Sheria Zanzibar akifungua mkutano wa Wasaidizi wa Sheria wa Jumuiyanya Maendeleo ya nchi za kusini mwa Afrika SADC katika ukummbi wa Zanzibar Beach Resort

Wizara ya Katiba na Sheria
Baadhi ya Wakurugenzi na Afisa Habari Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria wakiwa kwenye picha ya pamoja na Jaji wa Mahakama Kuu Zanzibar Mhe George Joseph Kazi Ikulu Zanzibar mara baada ya kuapishwa, kabla uteuzi Mhe George Joseph kazi alikuwa ni Katibu Mkuu Wizara ya Katiba na Sheria Zanzibar .

Wizara ya Katiba na Sheria
Jaji Wa Mahkama Kuu Zanzibar Mhe George Joseph Kazi akibadilishana mawazo na Mufti Mkuu wa Zanzibsr Sheikh Saleh Omar Kaabi pembeni ni Waziri wa Katiba na Sheria Mhe Khamis Juma wakiwa Ikulu ya Zanzibar mara baada kuapishwa

Hafla ya utiaji saini
Utiaji wa saini ya makubaliano ya kufanya kazi kwa mashirikiano ya pamoja kwenya masuala ya Msaada wa Kisheria na upatikanaji wa haki kwa ujumla Zanzibar kwa makundi maalumu hasa Wanawake na Watoto kati ya Wizara ya Katiba na Sheria na Legal Services Facilities ( LSF)

Utiaji saini ya makubaliano
Utiaji wa saini ya makubaliano ya kufanya kazi kwa mashirikiano ya pamoja kwenya masuala ya Msaada wa Kisheria na upatikanaji wa haki kwa ujumla Zanzibar kwa makundi maalumu hasa Wanawake na Watoto kati ya Wizara ya Katiba na Sheria na Legal Services Facilities (LSF)

Mkurugenzi wa Idara ya Msaada wa Kisheria
Mkurugenzi wa Idara ya Msaada wa Kisheria Bi Hanifa Ramadhan Said amewakumbusha watoa huduma za msaada wa kishera kuhakikisha wanajisajili ili waweze kufanya kazi zao kwa mujibu wa sheria

Waziri wa Katiba na Sheria
Waziri wa Katiba na Sheria Mhe Khamis Juma Mwalim amewasisitiza watoa huduma za msaada wa kisheria kuwa waadilifu na wazalendo katika kulinda Sheria za nchi na kuhakikisha kila mwananchi anapata haki yake

Wiki ya Msaada wa Kisheria Zanzibar
Kamati ya Maandalizi ya Wiki ya Msaada wa Kisheria (waliosimama nyuma ) Umoja ni nguvu

Mhandisi wa Mahakama akitoa maelezo ya ujenzi
Mhandisi wa Mahakama Kuu Tunguu ndg Mussa Ali Hamad akitoa maelezo ya ujenzi mbele ya Kamati ya Sheria, Utawala bora na Idara maalumu ya Baraza la Wawakilishi wakati walipofanya ziara ya kutembelea eneo hilo Tunguu

Baadhi ya wahitimu wa mafunzo yandoa.
Baadhi ya wahitimu waliokabidhiwa vyeti vya mafunzo ya ndoa yanayotolewa na ofisi ya mufti Zanzibar. Pamoja na wanafunzi hao ni Mkuu wa fatwa na utafiti ambae pia ni Mwalimu Mkuu wa mafunzo hayo Sh, Thabit Nouman Jongo.

Wizara ya katiba na sheria Zanzibar
Wizara ya Katiba na Sheria Zanziba Leo imeshiriki kikamilifu katika ufunguzi wa Michezo kwa Wizara za SMZ na Taasisi zake ikiwa ni shamrashamra za Miaka 56 ya Mapinduzi Zanzibar. Mgeni Rasmi ni Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Mhe Hassan Khatib .

MKURUGENZI wa Iadara ya Msaada wa Kisheria Zanzibar
Mkurugenzi wa Idara ya Misaada wa Kisheria Hanifa Ramadhani akifunga kongamano la kitaifa la wasaidizi wa Kisheria Zanzibar lililofanyika katika ukumbi wa S5 Boutique uliopo Kiembesamaki Unguja.

Habari & Matukio
 • news phpto
  Mkuu wa Mkoa Kusini Pemba Mhe Mattar Zahor Masoud akila kiapo cha Utii mbele ya Rais wa Zanzibar

  Mkuu wa Mkoa Kusini Pemba Mhe Mattar Zahor Masoud akila kiapo cha Utii mbele ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe Dkt Hussein Mwinyi , Kabla uteuzi ...Soma Zaidi...

 • news phpto
  Waziri wa nchi (OR) Katiba Sheria Utumushi na Utawala Bora amewahimiza watendaji wa Ofisi ya Mwanasheria Mkuu kuhakikisha kila mmoja anatimiza wajibu wake

  Waziri wa nchi Ofisi ya Rais Katiba Sheria Utumushi na Utawala Bora Mhe Haroun Ali Suleiman amewahimiza watendaji wa Ofisi ya Mwanasheria Mkuu kuhakikisha kila mmoja anatimiza wajibu wake wa ...Soma Zaidi...

 • news phpto
  Waziri wa Nchi (OR) Katiba Sheria, Utumishi na Utawala Bora afanya ziara Mahakama Kuu.

  Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba Sheria, Utumishi na Utawala Bora wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Haroun Ali Suleiman amesema hajafurahishwa na kasi ndogo ya ujenzi wa jengo ...Soma Zaidi...

 • Makabidhiano ya Nyaraka za Kazi.

  Waziri wa Nchi Afisi ya Rais Katiba Sheria Utumishi na Utawala Bora Zanzibar Mhe. Haroun Ali Suleiman akikabidhiwa Nyaraka za Kazi na aliekuwa Waziri wa Wizara ya Nchi Ofisi ya ...Soma Zaidi...

 • Habari Zaidi >>

Huduma za Tehama

Barua Pepe Msaada wa kisheria

Sisi

Mwanzo Kuhusu Sisi Idara Zetu

Viunga Muhimu

MAHAKAMA DPP WAKFU LRC SADC IKULU

Mawasiliano

Ofisi Kuu
S.L.P 772, Mazizini, Zanzibar
Tel.: +255(24)2234683 Mhe WaziriTel.: +255 (24)2234684 Katibu Mkuu,
Fax: +255 (24)2234689
Email: info@sheriasmz.go.tz