VIKAO VYA MAHAKAMA YA RUFAA YA TANZANIA.
Posted: 2019-11-21 11:52:11
Mahakama ya rufaa ya Tanzania inatarajiwa kuanza vikao vyake kwa upande wa Zanzibar siku ya Jumatatu tarehe 25/11/2019 hadi tarehe 11/12/2019 ambapo jumla mashauri 29 yanatarajiwa kusikilizwa na kutolewa uamuzi,kati ya mashauri hayo 23 ni madai na 6 ni ya jinai.