Hits 70181 | 2 online
Kaa nyumbani jinsi uwezavyo ili kujikinga na maambukizi ya corona Kaa umbali wa mita moja kati ya mtu na mtu ili kujikinga na virus vya corona Nawa mikono mara kwa mara kwa kutumia sabuni na maji yenye kutiririka Funika kinywa na pua kwa usahihi kwa kutumia barakoa Na kama utajihisi na dalili za corona piga simu namba 190 au *190# kwa taarifa zaidi
Kaa nyumbani jinsi uwezavyo ili kujikinga na maambukizi ya corona
Kaa umbali wa mita moja kati ya mtu na mtu ili kujikinga na virus vya corona
Nawa mikono mara kwa mara kwa kutumia sabuni na maji yenye kutiririka
Funika kinywa na pua kwa usahihi kwa kutumia barakoa
Na kama utajihisi na dalili za corona piga simu namba 190 au *190# kwa taarifa zaidi