Hits 30031 | 2 online
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Mh Dkt Ali Mohamed Shein leo amemuapisha Ndg George Joseph Kazi kuwa Jaji wa Mahkama Kuu Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Mh Dkt Ali Mohamed Shein leo amemuapisha Ndg George Joseph Kazi kuwa Jaji wa Mahkama Kuu Zanzibar, kabla uteuzi Mhe Jaji Kazi alikuwa ni Katibu Mkuu Wizara ya Katiba na Sheria . Sherehe za kuapishwa zimefanyika Ikulu Ikulu Zanzibar , Picha kwa hisani ya Ikulu Zanzibar.