Hits 38525 | 1 online
Waziri wa Nchi Afisi ya Rais Katiba Sheria Utumishi na Utawala Bora Zanzibar Mhe. Haroun Ali Suleiman akikabidhiwa Nyaraka za Kazi na aliekuwa Waziri wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Issa Haji Gavu
Waziri wa Nchi Afisi ya Rais Katiba Sheria Utumishi na Utawala Bora Zanzibar Mhe. Haroun Ali Suleiman akikabidhiwa Nyaraka za Kazi na aliekuwa Waziri wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Issa Haji Gavu (kulia kwake) hafla hiyo ya makabidhiano imefanyika katika ukumbi wa SHERIA HOUSE Mazizini Zanzibar.