Hits 70257 | 3 online
Katibu wa Mufti wa Zanzibar sheikh Khalid Ali Mfaume akikabidhiwa majukumu na aliyekuwa Katibu wa Mufti Sheikh Fadhil Soraga.
Katibu wa Mufti wa Zanzibar sheikh Khalid Ali Mfaume akikabidhiwa majukumu na aliyekuwa Katibu wa Mufti Sheikh Fadhil Soraga tukio ambalo limeshuhudiwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Omar Kaab.Sheikh Fadhil Soraga anakuwa mshauri wa Waziri wa Katiba na Sheria Zanzibar kwa masuala ya dini ya kiislamu.