Hits 70264 | 3 online
Waziri wa Katiba na Sheria Mhe Khamis Juma Mwalim amewaomba Wajumbe wa Kamati ya Sheria, Utawala Bora na Idara Maalum za SMZ wa Baraza la Wawakilishi kutoa uwelewa na kuwa walimu wazuri kwa wajumbe wengine wa Baraza la Wawakilishi na wananchi ili rasimu ya mswada wa sheria wa kuanzisha Jumuiya ya Mawakili Zanzibar iweze kufanya sheria na kuwa bora.
Waziri wa Katiba na Sheria Mhe Khamis Juma Mwalim amewaomba Wajumbe wa Kamati ya Sheria, Utawala Bora na Idara Maalum za SMZ wa Baraza la Wawakilishi kutoa uwelewa na kuwa walimu wazuri kwa wajumbe wengine wa Baraza la Wawakilishi na wananchi ili rasimu ya mswada wa sheria wa kuanzisha Jumuiya ya Mawakili Zanzibar iweze kufanya sheria na kuwa bora
Mhe Khamis amesema lengo la kupewa uelewa wajumbe wa Kamati kupata michango kwa Wajumbe wengine wa Baraza la Wawakilishi ili kusaidia kuwepo kwa mfumo mzima wa sheria na utowaji wa haki .