Hits 56915 | 3 online
Mwenyekiti wa Kamati ya Sheria, Utawala Bora na Idara Maalum za SMZ wa Baraza la Wawakilishi Mhe Machano Othman Said amesema wananchi wanategemea sana wanasheria katika kupata haki zao hivyo ni vyema kwa mawakili wakafuata taratibu zilizowekwa katika mswada huo ili kuepusha migongano kati ya wateja wao na Serikali .

Aidha Machano ameipongeza Wizara ya Katiba na Sheria ambapo amesema kasi iliyopo hivi sasa ni nzuri kulinganisha na wakati wa nyuma “huko nyuma kulikuwa na miswaada ya muda mrefu hivyo hongereni kuona tunakwenda na wakati” alisisitiza