Head image
Govt. Logo

Hits 25094 |  4 online

     
Katibu KUBINGWA sheria imelazimisha tunapofanya kazi tuvitumie vyombo vya habari.
news phpto

Katibu KUBINGWA sheria imelazimisha tunapofanya kazi tuvitumie vyombo vya habari.

Ili Tume ya kurekebisha Sheria iweze kutambulika na kufahamika majukumu yake kwa wanachi ni lazima kuvitumia vyombo vya habari na mitandao ya kijamii

Katibu wa Tume ya Kurekebisha Sheria ndugu Kubingwa Mashaka Simba ameyasema hayo wakati alipokuwa akiwasilisha mada kuhusiana na chimbuko, muundo na kazi za Tume hio kwa waandishi wa habari, wahariri na watayarishaji vipindi kutoka vyombo mbalimbali vya habari.

Kubingwa amesema miongoni mwa mambo yanayozingatiwa na Tume hio ni kushajihisha majadiliano kwenye vikao vilivyoitishwa na Tume hio kwa kupitia vyombo vya habari pamoja na kuyatangaza mapitio na kupata maoni kutoka kwa jamii

Kubingwa amesema ndio Tume ya kurekebisha sheria ni Taasisi ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar iliyoanzishwa chini ya kifungu cha 3 cha sheria ya Tume ya kurekebisha Sheria namba 16/1986.

Huduma za Tehama

Barua Pepe Msaada wa kisheria

Sisi

Mwanzo Kuhusu Sisi Idara Zetu

Viunga Muhimu

MAHAKAMA DPP WAKFU LRC SADC IKULU

Mawasiliano

Ofisi Kuu
S.L.P 772, Mazizini, Zanzibar
Tel.: +255(24)2234683 Mhe WaziriTel.: +255 (24)2234684 Katibu Mkuu,
Fax: +255 (24)2234689
Email: info@sheriasmz.go.tz