Hits 70267 | 3 online
Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Ayoub Mohamed Mahmoud akizungumza katika sherehe ya kuwapa vyeti wa hitimu wa mkupuo wa nne katika chuo cha maadili ya mafunzo ya ndoa kilicho chini ya Ofisi ya Mufti Mkuu wa Zanzibar inayoongozwa na Wizara ya Katiba na Sheria.

hafla iliyofanyika Ofisi ya Mufti iliyopo Mazizini Zanzibar.