Hits 40097 | 1 online
Wizara ya Katiba na Sheria inatoa pongezi kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe Dr Ali Mohamed Shein.
Wizara ya Katiba na Sheria inatoa pongezi kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe Dr Ali Mohamed Shein,wazanzibari na watanzania wote kwakuadhimisha miaka 56 ya Mapinduzi matukufu ya Zanzibar.
Kutoa huduma bora kwa jamii na kuzingatia misingi ya Katiba,Sheria,Haki,Demokrasia na Utawala Bora.