Hits 70268 | 3 online
Viongozi katika Wizara ya Katiba na Sheria wakifuatilia kwa makini kikao cha Uongozi wa Wizara hiyo cha Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha Julai-Disemba 2019.
Viongozi katika Wizara ya Katiba na Sheria wakifuatilia kwa makini kikao cha Uongozi wa Wizara hiyo cha Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha Julai-Disemba 2019 kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar,ambapo Mwenyekiti wake alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani),[Picha na Ikulu].